MSIBA FM ACADEMIA LUIGI B52 AFARIKI DUNIA
Mpiga solo maarufu wa FM ACADEMIA, Luigi B52 amefariki dunia. Luigi
ambaye ndie pia alipiga solo katika album maarufu ya Chambua kama
Karanga ya Saida Karoli amefariki dunia mchana huu. Mipango ya msiba
inafanywa katika kambi ya FM Academia pale karibu na Bar ya Aunty
Ezekiel.
Post a Comment