WASAMBAZAJI WA KAMPUNI YA FOREVER LIVING PRODUCTS WALIPOTEMBELEA KITUO CHA WATOTO YATIMA CHA TUMAINI, MJINI DODOMA

Manager wa Forever Living Products, Madam Esther akiingia kwenye kituo cha kulelea watoto yatima cha Tumaini na wafanya biashara wenzake kituo hiki kipo Dodoma Mjini
 Manager Ngoma (kushoto)  akiwa na Manager mwenzake Patrick Komba (katikati) pamoja na Juma (kulia) wakikabidhi msaada kwa watoto yatima katika kituo cha Tumaini kilichopo Dodoma Mjini
Baadhi ya wafanya biashara ya soko la mtandao Dodoma  (Kampuni ya Forever Living Products)  walipofika kituo hicho kwa ajiri ya kuwaona watoto na kuwapa msaada kwani kutoa ni moyo na sio utajiri.
Hii ni picha ya pamoja walioipiga wafanya biashara wa  Kampuni ya Forever Living Products na watoto yatima walipotembelea katika kituo cha watoto yatima cha Tumaini kilichopo Dodoma Mjini katika picha ni Manager Ngoma (kushoto) akiwa na Zainabu, Othuman, Rebecca na wengineo.

No comments

Powered by Blogger.