
Rais Dkt. Jakaya Kikwete
na mwenyeji wake Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda wakiweka udongo
kwenye kaburi la Mzee Amos Kaguta (97) wakati wa mazishi yake
yaliyofanyika katika kijiji cha Rwakitura.

Rais Dkt. Jakaya
Mrisho Kikwete akiweka shada la maua juu ya jeneza la Marehemu Mzee Amos
Kaguta(97), Baba Mzazi wa Rais Wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni wakati
wa ibada ya mazishi iliyofanyika katika kijiji Cha Rwakitura nchini
Uganda.

Rais Dkt. Jakaya
Kikwete akimpa pole Rais Yoweri Kaguta Museveni kutokana na kifo cha
Baba yake Mzee Amos Kaguta, katika kijiji cha Rwakitura nchini humo.

Rais Dkt. Jakaya Kikwete
akifariji mke wa Rais wa Uganda Mama Janet Museveni kufuatia kifo cha
Baba wa Rais Museveni Mzee Amos Kaguta.
Picha na Freddy Maro-IKULU



No comments:
Post a Comment