TANZANIA YAPATA MSAADA KUTOKA OFID DOLA ZA KIMAREKANI BILIONI 18.42 KUSAIDIA MRADI WA MAJI MKOANI MANYARA


 Waziri wa Fedha Dkt. Wiliam Mgimwa akisaini mkataba wa maji ambao utawasaidia wananchi ya Manyara.Serikali ya Tanzania yasaini mkataba wa jumla ya dola za kimarekani milioni 16 kusaidia mradi wa maji Orkesumet mkoani Manyara. Mkataba huo umesainiwa  leo kati ya Serikali ya Tanzania na OPEC Fund For International Development (OFID) wakishirikiana na BADEA. OPEC wametoa milioni 8 na BADEA wametoa milioni 8. Ili kufanikisha mradi huu Serikali ya Tanzania itatoa dola za kimarekali milioni 2.42, Hivyo kufanya mradi huu kufikia jumla ya dola za Kimarekani milioni 18.42.(Picha na Michuzi)
 Waziri wa Fedha Dkt Wiliam Mgimwa akipokea mkataba kutoka kwa mchumi wa Wizara ya Fedha Bw. Patrck Pima.
Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. Wiliam Mgimwa akibadilishana mkataba na Mkurugenzi  wa OFID kushoto ni Katibu wa Waziri wa Fedha Bw. Omar Khama akiwasikiliza wafanyakazi wa OFID.

No comments

Powered by Blogger.