TIZAMA PICHA NNE (4): MBILI ZA UHURU KENYATTA AKIWA NA BABA YAKE ENZI ZA UTOTO NA PICHA MBILI ZA LEO ZA KUAPISHWA KUWA RAIS WA NNE WA KENYA

 Uhuru Kenyatta akiwa na baba yake mzazi Mzee Jomo Kenyatta
 
 Uhuru Kenyatta(wa pili kushoto) akiwa na baba yake Mzee Jomo Kenyatta pamoja na Rais aliyemaliza muda wake Rais Mwai Kibaki (wa pili Kulia) na raisi wa awamu ya pili Daniel Arap Moi(kulia)
 Rais Uhuru Kenyatta wakati anapishwa kuwa Rais wa nne wa kenya leo
Ulinzi ukiwa umeshamili kwa rais mpya wa Kenya

No comments

Powered by Blogger.