YALIYOJIRI KWENYE MECHI ZA BLOGGER NA TIMU NYINGINE LEO KATIKA VIWANJA VYA LEADERS CLUB

 Hiki ndicho kikosi cha Blogger FC kilichotoa furaha kwa mashabiki wake
 Mchezaji wa Blogger FC Jonathan Tito akibishana na mchezaji wa timu pinzani ya DSJ
 Wachezaji wa timu ya Blogger wakiwa wamepumzika
 Goli kipa Othuman Michuzi akitaka kudaka mpira
 Mchezaji wa Blogger FC, Zuberi akizungumza neno na kituo cha television cha ITV

Mmiliki wa Blog ya Pamoja Pure akizungumza neno na wachezaji wa Blogger FC katiaka viwanja vya Leaders Club
Wachezani wa Blogger wakishangilia ushinda baada ya kuifunga DSJ 3 kwa 2 katika viwanja vya Leaders Club leo
Othuman Michuzi akiwa na Michuzi miliki wa Blog ya Michuzi wakishangilia ushindi walioupata baada ya Blogger FC kuifunga DSJ 3 kwa 2









No comments

Powered by Blogger.