PICHA YA LEO: HUYU NDIYE MWANAFUNZI WA CHUO CHA USIMAMIZI WA FEDHA (IFM) ALIYEFARIKI BAADA YA KULA CHAKULA CHENYE SUMU

Huyu ni Rogers Evarist (pichani juu) aliyefariki tarehe 04, MAY 2013 siku hiyo jumamosi. Inasemekana alifariki  kwa kula chakula kulichowekewa sumu huko maeneo ya Kigamboni jijini Dar es Salaam. Alisoma  kidato cha  tano na sita kwenye shule ya Arusha Sekondari uwa anasoma mwaka wa pili katika chuo cha usimamizi wa fedha(IFM) anasoma
 BA. Acounting.

 R.I.P BROTHER

No comments

Powered by Blogger.