BREAKING NEWZZZZZ: MSANII LANGA AMEFARIKI DUNIA HIVI PUNDE KWENYE HOSPITALI YA MUHIMBILI

Kwa habari zilizotufikia hivi punde kutoka Muhimbili zinasema Msanii Langa Kileo aka Langa amefariki muda sio mrefu kwenye hospitali ya Rufaa ya Muhimbili alipokuwa amelazwa.Msanii Langa inasemekana kuwa alipatwa na maralia kali siku ya jana na kukimbiza hospitalini hapo mpaka mauti yanamfika.

UONGOZI WA PAMOJAPURE  BLOG UNATOA POLE KWA NDUGU, JAMAA NA MARAFIKI KWA KIPINDI HIKI KIGUMU

No comments

Powered by Blogger.