HAPPY BIRTHDAY BLOGGER LUKAZA

 Kila tarehe 1 JUNE huwa ni siku ya kumbukumbu ya Kuzaliwa ya Josephat Lukaza, ambayo leo anakumbuka siku ya kwanza ya safari yangu ya kuingia duniani. anapenda kuchukua nafasi hii Kwanza Kumshukuru Mwenyezi Mungu Mwingi wa Rehema ambaye yeye ndie amewezesha hadi yeye Kufika Hapa hii leo
Vilevile anapenda Kuwashukuru Wazazi wake kwa Kunilea hadi  Kufikia hapa alipo leo Hiyo yote ni kudra za Mwenyezi Mungu Kwa Kuwajalia Nguvu,Upendo na Ustahimilivu wa hali juu na hatimaye Kumfikisha Hapa alipo.

No comments

Powered by Blogger.