Social Icons

PAMOJAPURE

PAMOJAPURE

Friday, June 21, 2013

PICHA YA LEO: HIVI POLISI WA JIJI WANAPOWAONDOA WAFANYABIASHARA WADOGO WADOGO KWENYE MITAA YA JIJI LA DAR ES SALAAM KWA UJIO WA OBAMA JE WAMEWATENGEA MAENEO YA KUDUMU?


Manispaa ya Ilala Yaendesha Operesheni ya kuwaondoa wafanyabiashara ndogondogo kwenye maeneo ambayo si rasmi tayari kabisa kwa ujio wa Rais wa Marekani Barack Obama

Post a Comment