POLISI WAKAMATA MENO YA TEMBO UWANJA WA NDEGE WA MWALIMU NYERERE

 Kamanda wa Polisi wa Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere jijini Dares Salaam, ndugu Katto akionesha meno ya Tembo  yaliyokamatwa yakiwa yametengenezwa mithili ya bangili tayari kwa kusafirishwa.
Kamanda Katto akionesha meno ya tembo yaliyotengenezwa kama vijiti.
 
Juzi Agost 16 mwaka huu majira ya saa 10:46 jionI polisi jijini Dar walimkamata raia wa Vietnam aitwaye Nguyen Fanichati akiwa na meno ya Tembo, Tukio hili lilitokea katika  Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Meno hayo yaliyokuwa yamefichwa ndani ya sanduku yalitajwa kwa ujumla kuwa na zinathamani ya Tsh. milioni 18.4.

SOURCE: GPL

No comments

Powered by Blogger.