HIVI KWA HILI NI NANI ALAUMIWE?


 Mchana wa jana blog ya jamii ilishuhudia vijana hawa ambao hawakuweza kutambulika majina yao mara moja,wakisombelea mchana kutoka katika mtaro wa kupitisha maji kando kando ya barabara ya inayoelekea kwenye hoteli ya White Sands kutokea Afrikana, Mbezi Beach Jijini Dar es Salaam na kupakia kwenye gari kama waonekanavyo pichani.Hali hiyo inapelekea kuchimbika kwa kingo za barabara hiyo hasa pale maji yanapopita kwa wingi pindi inyeshapo mvua kubwa.
 Wengine walikuwa bize kupakia kwenye mkokoteni kama waonekanavyo

 ENDELEA KUTIZAMA TUKIO HILI KWA KUBOFYA HAPA CHINI

 
 Sehemu ya barabara hiyo ikionekana kumeguka upande kutokana na kuchimbika kwa chini.

No comments

Powered by Blogger.