KONGAMANO LA WAKUU NA WAMILIKI WA VYUO VYA UFUNDI STADI KANDA YA DAR ES SALAAM LAFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM


 Mgeni rasmi Sarah Shibelea akifungua kongamano
 Kaimu Mkurugenzi wa VETA mkoa wa Dar es Salam Mrs.Bernadeta Ndunguru akisisitiza jambo baada ya mgeni rasmi kumaliza kufungua kongamano

 ENDELEA KUSOMA HABARI HII KWA KUBOFYA HAPA CHINI

 
 Msherehehaji wa Kongamano hili Bwana Mongele
Wakuu na wamiliki wa vyuo vya ufundi stadi  kanda ya Dar es Salaam
 Mgeni rasmi Sarah Shibelea akiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya Wakuu na wamiliki wa vyuo vya ufundi stadi  kanda ya Dar es Salaam
Mgeni rasmi Sarah Shibelea akiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya Wakuu na wamiliki wa vyuo vya ufundi stadi  kanda ya Dar es Salaam.

Kongamano la Wakuu na wamiliki wa vyuo vya ufundi stadi  kanda ya Dar es Salaam inayolenga kupata maoni ya wadau juu ya utekelezaji wa mafunzo ya ufundi stadi lililoendeshwa na ofisi ya VETA Kanda ya Dar es Salaam.

No comments

Powered by Blogger.