YALIYOJIRI KWENYE BUNGE LA KATIBA MJINI DODOMA LEO

 
 Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba wakiwasili katika eneo la Ukumbi wa Mkutano leo mjini Dodoma kwa ajili ya kuendelea na mjadala wa sura ya kwanza na sita ya rasimu ya Katiba mpya.
 Baadhi ya Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba wakiwa ndani ya Ukumbi wa Mkutano wakifuatilia  mjadala wa sura ya kwanza na sita ya rasimu ya Katiba mpya leo mjini Dodoma.

ENDELEA KUTIZAMA TUKIO HILI KWA KUBOFYA HAPA CHINI
 
 
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Goodluck Joseph Ole-Medeye akitoa mchango wake akiwasilisha  katika Ukumbi wa Mkutano leo mjini Dodoma wakati wa mjadala wa sura ya kwanza na sita ya rasimu ya Katiba mpya.
Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Samuel Sitta(kulia) na Mjumbe wa Bunge hilo Profesa Costa Mahalu(kushoto) wakijadiliana kitu leo mjini Dodoma wakati wa mjadala wa sura ya kwanza na sita ya rasimu ya Katiba mpya. Picha na Bunge Maalum la Katiba- Dodoma.

No comments

Powered by Blogger.