CHATU ATOKEA NYUMBANI KWA MTU ARUSHA, MWENYEWE AOMBA ASIUAWE NI MWANAE WA KWANZA


Chatu mkubwa amekutwa nyumbani kwa mtu akiwa kafungwa kitambaa cheupe kimeandikwa maneno ya quran, ndani ya geti wafanyakazi wakakimbia na kufungua geti ghafla mwenye nyumba akapigiwa simu. Chatu ametokea chumbani kwa huyo mama ghafla akaenda kwenye maua pia chatu huyo hakumdhuru mtu walijitahidi kumua chatu akutwa aliyekutwa nyumbani kwa mtu, mwenye nyumba alipopigiwa simu akasema asiuwawe Ni mwanae, imetokea sasa hivi arusha, huko sakina maeneo ya motel 2000 Mwenye nyumba anaitwa Magesa.

Jamani walimwengu hawaachi tu kutushangaza muda huu nimerudi nyumbani nasinzia sinzia ndio napewa yaliyojiri mkoani arusha huko.Ila wananchi wamemuua huyo chatu.

ENDELEA KUSOMA HABARI HII KWA KUBOFYA HAPA CHINI






No comments

Powered by Blogger.