HAPPY BIRTHDAY SALMA JABU "NISHA"

Msanii wa filamu nchini Tanzania, Salma Jabu kwa jina la usanii anaitwa "Nisha" leo ametimiza miaka kadhaa ya kuzaliwa. Mungu akulinde na akusimamie kwenye maisha yako.

No comments

Powered by Blogger.