BREAKING NEWS: MAITI YAOKOTWA KWENYE MAJI MACHAFU KARIBU NA KIWANDA CHA KAHAWA (COFFEE CURING), MKOANI KILIMANJARO

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu. 



 
 Baadhi ya wananchi wakishangaa maiti ya mwanaume huyo (haupo pichani) ambaye jina lake na wapi na chanzo cha kifo chake bado hakijajulikana 
Maiti ya Mwanaume anayekadirikiwa kuwa na Umri kati ya miaka 25-35, imeokotwa asubuhi ya leo katika Mfereji wa Maji uliopo jirani na kiwanda cha kukoboa Kahawa (Coffee Curing), maeneo ya Majengo Fire, wilaya ya Moshi, mkoani Kilimanjaro.


ENDELEA KUTIZAMA TUKIO HILI KWA KUBOFYA HAPA CHINI


 Huu ndio mfereji ambako mwili wa mtu asiyejulikana ulikokutwa leo asubuhi
 Wananchi wakishiriki kuupakiza mwili huo kwenye gari la Polisi.

No comments

Powered by Blogger.