MAHAFARI YA 28 YA CHUO CHA MIPANGO NA MAENDELEO VIJIJINI YAFANYIKA MJINI DODOMA

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.

 Maandamano yakiingia katika ukumbi wa Nyerere uliopo chuo cha mipango Dodoma kwenye mahafara ya 28 ya wahitimu wa chuo hicho.
 Naibu waziri wa Viwanda na Biashara Janeth Mbene akiwa meza kuu na viongozi wa juu wa chuo cha mipanga na maendeleo vijijini [IRDP] wakati wa mahafari ya 28 ya chuo hicho yaliyofanyika chuoni hapo mjini Dodoma.
Naibu waziri Janeth Mbene aliyekuwa Mgeni Rasmi kwenye mahafari ya 28 ya wanafunzi wa chuo cha mipango na maendeleo vijijini akifafanua jambo wakati akiongea na wahitimu hao zaidi ya 1900 waliohitimu ngazi mbalimbali mjini Dodoma.
 
Mkuu wa chuo cha Mipango na maendeleo vijijini [IRDP] Dodoma Costantine Lifulilo akitoa ufafanuzi wa jambo katika kwa wahitimu wa kozi mbalimbali waliohitimu masomo yao. 
 Mwenyekiti wa Baraza la chuo hicho Dkt Razack Lokina akifafanua jambo kwenye mahafari hayo.
 Naibu waziri wa Viwanda na Biashara Janeth Mbene akimtuniku kwa kumvalisha kofia Nicoline Gwakahuzu aliyehitimu Shahada ya uzamili katika uchumi wa maendeleo ya chuo cha mipango na maendeleo vijijini IRDP Dodoma.
Wahitimu wa chuo hicho wakiwa ukumbini tayali kwa sherehe za mahafari na kutunikiwa vyeti.

No comments

Powered by Blogger.