PICHA: YALIYOJIRI KWENYE UZINDUZI WA VIDEO MPYA YA WIMBO WA WAKAZI

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.

 Rapper Wakazi juzi amezindua video ya wimbo wake ‘Wanaweke wa Dar’kwenye ukumbi wa M.O.G Bar & Restaurant iliyopo Kinondoni jijini Dar es Salaam.
 Wakazi akifanya ya kwake kwenye stage
Katika uzinduzi huo Wakazi alisindikizwa na wasanii mbalimbali wakiwemo AY, Grace Matata, Damian Soul , Fid Q, Chidi Benz, Songa, One Incredible, Cliff Mitindo na wasanii wengine.
 Chidi Benz akifanya ya kwake


 AY akionyesha uwezo wake 
 Grace Matata akiimba pamoja na  Damian Soul
 Grace Matata
 Fid Q akiwazungumza jambo kwenye uzinduzi huo
 Mrembo akifuatilia uzinduzi kwa makini


 Damian Soul

 Cliff Mitindo

 Muba wa Mkasi, Zuhura ‘Kamiligado’ na Songa
 Mrembo akifuatilia uzinduzi kwa makini


No comments

Powered by Blogger.