BREAKING NEWS: WAFANYABISHARA WA MAKAMBAKO WAINGIA KWENYE MGOMO WAFUNGA MADUKA YAO

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.

 Wimbi la kufunga maduka limeendelea kusambaa karibu maeneo mengi nchini ambapo wafanyabiashara wa Makambako nao leo wamefunga biashara zao wakishinikiza mwenyekiti  wao wa taifa kuachiwa huru, kugomea asilimia mia ya kodi kutoka TRA pamoja na kushinikiaza kubadili mfumo wa mashine za Efd. Wakizungumza kwa nyakati tofauti wafanyabiashara hao wamesema hawatafungua hadi mambo hayo yatekelezwe.
Hii ndio hali halisi ya Makambako baada ya wafanyabiashara kufunga maduka. (Picha na Fredy Njeje)

No comments

Powered by Blogger.