MADEREVA WA BODA BODA MKOANI MBEYA WATANGAZA MGOMO WA KUTOBADILISHA NAMBA ZA PIKIPIKI

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


 
MWENYEKITI wa chama cha Bodaboda mkoa wa Mbeya, VICENT MWASHOMA.
KATIBU wa Bodaboda mkoa wa Mbeya, MSUMBA MDESA, akitoa tamko kwa niaba ya waendesha Boda boda mkoa wa Mbeya.

ENDELEA KUSOMA HABARI HII KWA KUBOFYA HAPA CHINI

Mabango yakafuata na kuanza kusema kama yanavyosomeka hapo chini. 
BAADA ya mabango na tamko, wakaonesha wamekubaliana, kisha yakafuata makofi kutoka kwa viongozi wengine ambao walikusanyika leo katika ukumbi wa Coffee Garden Jijini Mbeya.
Baadhi ya viongozi kutoka wilaya zote za mkoa wa Mbeya, wakisikiliza wakati viongozi wao wa mkoa, wakisoma tamko kuhusu kugoma kuanzia leo kwenda TRA kubadili namba za BODABODA zao kwa madai kuwa wanalipishwa na gharama ambazo hawastahili huku madarali(matapeli) wakiwa wamejaa ndani na nje ya jengo la TRA ambapo hata elimu ya kutosha kuhusu ubadilishaji wa namba hizo, hawajapata.
Kushoto waliosimama ni baadhi ya watangazaji wa redio mbalimbali mkoani Mbeya, wakiwa ndani ya ukumbi wa Coffee Garden asubuhi ya leo.
Baada ya kikao cha Bodaboda mkoa wa Mbeya na kutoa tamko, baadhi kutoka Mbalizi Mbeya, Vijijini, wakahitaji kupiga picha ya pamoja na Mhariri mkuu wa Blog hii ya Kalulunga Media, SAUTI YA WASIO SIKIKA, Gordon Kalulunga, anayeonesha kidole mbele.

CREDIT:KALULUNGA MEDIA

No comments

Powered by Blogger.