MBWA WA MITAANI WAOMBOLEZA KIFO CHA MWANAMKE ALIYEKUWA AKIWAPA CHAKULA

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.



Maziko ya mwanamke mmoja kikongwe nchini Mexico yalichukua sura ngeni baada ya mbwa wa mitaani kujitokeza nao kuja kutoa heshim za mwisho.

Mwanamke huyo mpenda wanyama Margarita Suarez wa Merida, Yucatan, alifariki dunia mapema mwezi huu baada ya kuugua.

Wakati wa uhai wake Margarita alikuwa ni mtu mwema mno kwa wanyama wa aina zote na kila asubuhi alikuwa akiwapatia chakula mbwa na paka wa mitaani anaowakuta nje ya nyumba yake.
       Mbwa wakiomboleza kifo cha Margarita Suarez

No comments

Powered by Blogger.