TAZAMA TUKIO ZIMA HAPA BAADA YA POLISI KUIZINGIRA NYUMBA YA ASKOFU GWAJIMA PAMOJA NA ALIVYOPANDISHWA KIZIMBANI LEO

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


 Nyumba ya askofu Gwajima ikiwa chini ya ulinzi wa Polisi wakati yeye mwenyewe akiwa ndani yeye na familia yake.(Picha zote na Francis Dande wa Habari  Mseto Blog)
 Ulinzi uliimarishwa kila kona nyumbani kwa askofu Gwajima.

ENDELEA KUTIZAMA TUKIO HILI KWA KUBOFYA HAPA CHINI

 Polisi wakiwa katika doria nyumbani kwa askofu Josephat Gwajima leo.
 Wakili wa askofu Gwajima, Peter Kibatala (wa pili kushoto) akiteta jambo na maofisa wa Polisi waliokuwa wameizingira nyumba ya askofu huyo.
 Polisi wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia wakiwa wameimarisha ulinzi nje ya nyumba ya askofu Gwajima.
 Waumini wa askofu Gwajima wakiwasili katika makazi ya askofu huyo baada ya kupata taarifa za nyumba yake kuzingirwa na askari Polisi tangu majira ya saa 12 asubuhi.
 Waumini wakiwasili nyumbani kwa gwajima.
 Waumini wakiimba nyimbo na kushangilianje ya nyumba ya Gwajima.
Waumini wakiwa nje ya nyumba ya Gwajima.
Askofu Gwajima akitoka ndani ya nyumba yake baada ya Polisi kuondoka na kumtaka kwenda kuripoti Kituo Kikuu cha Polisi cha Kati.
 Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Askofu Josephat Gwajima akiwa ameshikana mkono na mshtakiwa mwenzake askofu msaidizi, Yekamia Behagaza wakati wakitoka katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam leo, walipofikishwa mahakamani hapo kwa kosa la kutoa lugha za matusi na kukutwa na silaha kinyume cha sheria.
 Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Askofu Josephat Gwajima akiwa ameshikana mkono na mshtakiwa mwenzake askofu msaidizi, Yekamia Behagaza wakati wakitoka katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam leo, walipofikishwa mahakamani hapo kwa kosa la kutoa lugha za matusi na kukutwa na silaha kinyume cha sheria.
Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Askofu Josephat Gwajima (katikati) akiwa na mshtakiwa mwenzake askofu msaidizi, Yekamia Behagaza wakati wakitoka katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam leo, walipofikishwa mahakamani hapo kwa kosa la kutoa lugha za matusi na kukutwa na silaha kinyume cha sheria.
                     Askofu Gwajima (kushoto) akitoka mahakamani.
 Gari la Polisi likiwa katika doria nyumbani kwa Gwajima leo.
 Polisi wakitoka katika mahakama ya Kisutu ambako askofu Gwajima alifikishwa mahakamani hapo.
Polisi wakiwa katika gari maalum la maji ya kuwasha wakati wakitoka mahakamani.

No comments

Powered by Blogger.