YALIYOJIRI KWENYE MECHI KATI YA YANGA NA RUVU SHOOTING KWENYE UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR LEO

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.

 Mshambuliaji wa Yanga, Amis Tambwe akiwatoka wachezaji wa Ruvu Shooting katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa. Yanga imeshinda 5-0. (Picha na Francis Dande).
 Timu zikiingia uwanjani.
 
Mshambuliaji wa Yanga, Kpah Sherman, akishangilia bao aliloifungia timu yake dhidi ya Ruvu Shooting katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa. Yanga imeshinda 5-0. (Picha na Francis Dande).

 Haruna Niyonzima (kushoto), Simon Msuva (kulia) na Kpah Sherman wakishangilia baada ya Simon Msuva kuipatia timu hiyo bao la pili.

Mshambuliaji wa Yanga, Simon Msuva, akimpiga kanzu mchezaji wa Ruvu Shooting, Abdulahman Musa, katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Yanga imeshinda 5-0.

 Mpiga picha wa Azam Tv akichukua matukio katika mchezo wa Yanga na Ruvu Shooting.

Kpah Sherman akishangilia baada ya kufunga.

Juma Abdul (kushoto) akichuana na beki wa Ruvu Shooting.

 Juma Abdul (kushoto) akikabana na beki wa Ruvu Shooting.

Juma Abdul akiwania mpira.

 Juma Abdul akimtoka beki wa Ruvu Shooting.

 Juma Abdul huyooo.

No comments

Powered by Blogger.