MPYAA:TAZAMA HAPA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOPANGIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO, JULAI 2015
Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.
OWM-TAMISEMI inawatangazia majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na
Kidato cha Tano na Vyuo vya Ufundi kwa mwaka 2015.Wanafunzi waliochaguliwa ni
kutoka shule za Serikali na zisizo za Serikali.
Jumla ya wanafunzi 55,003 wakiwemo wasichana 23,303 na wavulana31,700
wamechaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano na Vyuo vya Ufundi.Kati ya wanafunzi
waliochaguliwa 29,744 wakiwemo wasichana 11,450 nawavulana 18,294 sawa na
asilimia 54.08 watajiunga na masomo ya Sayansina Hisabati; na wanafunzi 25,259
wakiwemo wasichana 11,853 nawavulana 13,406 sawa na asilimia 45.92
wamechaguliwa kusoma masomoya Sanaa na Biashara.
Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano mwaka 2015wataanza muhula
wa kwanza tarehe 18 Julai, 2015 na hakutakuwa nafursa ya mabadiliko yoyote ya
shule. Wanafunzi wote wanatakiwakuripoti katika shule walizopangwa kwa wakati.
Endapo mwanafunziatachelewa kuripoti kwa zaidi ya siku 14 kuanzia tarehe ya
mwisho yakuripoti, nafasi yake itachukuliwa na mwanafunzi mwingine
aliyekosanafasi.
Orodha ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano naVyuo vya
Ufundi mwaka 2015 inapatikana kwenye tovuti ya OWMTAMISEMI
Imetolewa na Katibu Mkuu,
Post a Comment