MBUNGE JOSHUA NASSARI AMEPATA AJALI BAADA YA HELIKOPTA ALIYOKUWA AKIITUMIA KUKUMBWA NA DHORUBA

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


Kwa  taarifa zilizotufikia hivi punde zinasema kuwa mbunge Wa Arumeru Mashariki ndugu Joshua Nasary amepata ajali leo jioni akiwa maeneo ya Leguruki.



Kwa taarifa za mwanzo zinasemekana mbunge huyo amenusurika na amepata majeraha madogo lakini mmoja Wa abiria wake kavunjika mguu.
Mbunge amekimbizwa katika Hosptali ya Selian na kwa mujibu wa Katibu wa mbunge hajaumia sana ila abiria wawili mmoja anajulikana kwa jina la Eve ambaye ni mmoja wa viongozi wa BAWACHA jimboni kaumia mbavu na mwingine kavunjika mguu.

Endelea kutufuatilia kwa habari zaidi

No comments

Powered by Blogger.