MKUTANO MKUU WA TATU WA CHAMA CHA WAANDISHI WA HABARI IRINGA (IPC) WA UCHAGUZI

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


Wajumbe wa mkutano mkuu wa tatu wa IPC wa uchaguzi wakisimama kwa dakika moja kuwakumbuka wanachama waliotangulia mbele ya haki ambao ni aliyekuwa mwenyekti Daudi Mwangosi, Mweka Hazina Vick Macha na mjumbe wa kamati tendaji Mzee Fulgence Malangalila uliyofanyika Ukumbi wa Lutheran Center mjini Iringa.
Mwenyekiti wa IPC, Frank Leonard akifungua mkutano mkuu wa tatu leo katika Ukumbi wa Lutheran Centre mjini Iringa. Kushoto ni Mweka Hazina Msaidizi Janeth Matondo na Katibu Ktendaji Francis Godwin. (PICHA ZOTE NA FRIDAY SIMBAYA)

Mjumbe wa kamati tendaji Tukuswiga Mwaisumbe akiwasilisha taarifa ya IPC VICOBA. 
Wajumbe wa mkutano wa tatu wa IPC wakifuatilia mkutano

No comments

Powered by Blogger.