HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

Man City marufuku kusajili miaka miwili

Klabu ya soka ya nchini Uingereza, Manchester City, imefungiwa kusajili na bodi ya ligi ya nchini hiyo vijana wadogo walio na umri wa chini ya miaka 18 sambamba na kutozwa faini ya Paundi 300,000 kwa kuvunja sheria ya maendeleo ya vijana.
Kufuatia uchunguzi wa Bodi ya Ligi Kuu, ushahidi umepatikana kwa City wamevunja sheria za Ligi.

Uvunjaji huo wa sheria unahusu kufanya mazungumzo na wachezaji wawili wa academy tofauti kwa ajili ya kuwasajili huku wakiwa wamesajiliwa na klabu nyingine.
Adhabu hiyo ni sawa na waliyopewa Liverpool mwezi uliopita baada ya kukutwa na hatia ya ‘kuiba’ mchezaji mwanafunzi wa shule wa Stoke City.
Kuwasiliana na mchezaji wa academy yoyote akiwa amesajiliwa na klabu yake ya wakati husika ni kosa, ambalo City wamefanya na sasa linawagharimu.

REKODI 6 ZILIZOVUNJWA BAADA YA ARSENAL KUFUNGWA NA MAN CITY

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.

Ligi kuu England iliendelea Jumapili ya December 18 kwa mechi tatu kuchezwa kwenye viwanja tofauti. Mechi iliyopewa uzito wa juu na mashabiki wengi wa Bongo ni kati ya Manchester City vs Arsenal ambayo ilimalizika kwa Arsenal kupigwa 2-1.

Arsenal walianza kupata goli mapema kipindi cha kwanza mfungaji akiwa Theo Walcott dakika ya tano.
Man City wakaja juu na kusawazisha kisha kuongeza goli jingine. Magoli ya City yamefungwa na Sane na Sterling yote yakikwamishwa nyavuni kipindi cha pili.

Katika mchezo huo, rekodi sita zimevunjwa na kuwekwa nyingine mpya huku Man City wakipanda hadi nafasi ya pili wakiwa na pointi 36 nyuma ya Chelsea inayoongoza ligi ikiwa na point 43.

1. Man City imeshinda kwa mara ya kwanza mchezo wa Premier League ambao walipoteza katika kipindi cha kwanza (tangu November 2012 vs Tottenham).

2.  Arsenal wamepoteza mechi tatu msimu huu ambazo walianza kuongoza zaidi ya walivyofanya katika msimu mzima wa 2015-2016 (walipoteza mechi mbili).

3. Guardiola bado hajapoteza mchezo wowote wa nyumbani dhidi ya Wenger katika mashindano yote (W4 D1).

4. Sane amekuwa mchezaji wa sita wa kijerumani kufunga goli ndani ya Premier League kwenye klabu ya Man City.

5. Sterling amefunga goli kwa mara ya kwanza kwenye Premier League katika mechi tisa zilizopita tangu alipofunga dhidi ya Swansea City mwezi September.

6. Cech amecheza mechi sita za Premier League bila clean sheet kwa mara ya kwanza katika maisha yake ya soka.

TAZAMA HAPA RATIBA YA MECHI ZA UINGEREZA ZITAKAZOCHEZWA LEO JUMAMOSI

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.

TAZAMA HAPA RATIBA YA MECHI ZA LIGI YA UINGEREZA ZITAKAZOCHEZWA LEO JUMAMOSI

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.

TAZAMA HAPA RATIBA YA MECHI ZA LIGI YA UINGEREZA ZITAKAZOCHEZWA LEO

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.

RATIBA KAMILI YA MECHI ZA LIGI YA UINGEREZA ZITAKAZOCHEZWA LEO HIZI HAPA

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.

TAZAMA HAPA RATIBA KAMILI YA MECHI ZA LIGI YA UINGEREZA ZITAKAZOCHEZWA LEO JUMAMOSI

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.

HAYA NDIO MATOKEO YA MICHEZO ZILIYOCHEZWA LEO KATIKA LIGI YA UINGEREZA