NAPE AIPONGEZA SERENGETI BOYS KWA KUFUZU FAINALI ZA AFCON GABON 2017
By: VIJIMAMBO on February 04, 2017 / comment : 0 michezo, Nape Nnauye, Serengeti Boys, WAZIRI
SERENGETI BOYS YAFUZU AFCON U-17
By: VIJIMAMBO on February 04, 2017 / comment : 0 michezo, Serengeti Boys
SERENGETI BOYS YAENDELEA KUJIFUA KWA KASI KABLA YA KUWAKABILI WENYEJI WAO VIJANA WA CONGO KESHO
By: VIJIMAMBO on October 01, 2016 / comment : 0 michezo, Serengeti Boys
SERENGETI BOYS WAJIFUA JIJINI BRAZZAVILLE TAYARI KWA MTANANGE WA MARUDIANO NA CONGO JUMAPILI
By: VIJIMAMBO on September 30, 2016 / comment : 0 michezo, Serengeti Boys
SERENGETI BOYS WATUA CONGO
By: VIJIMAMBO on September 29, 2016 / comment : 0 michezo, Serengeti Boys, TFF
SERENGETI BOYS KUWEKA KAMBI NJE NCHI
By: VIJIMAMBO on September 20, 2016 / comment : 0 michezo, Serengeti Boys
Baada ya kuifunga Congo-Brazzaville mabao 3-2 katika mchezo wa kwanza kuwania nafasi ya kucheza Kombe la Mataifa ya Afrika, timu ya taifa ya vijana, Serengeti inatarajiwa kuondoka Alhamis wiki hii kwenda kupiga kambi nje ya nchi.WAZIRI NAPE KUTOA LAKI TANO KWA KILA GOLI LA SERENGETI BOYS
By: VIJIMAMBO on September 17, 2016 / comment : 0 michezo, Nape Nnauye, Serengeti Boys, WAZIRI
Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Nape Moses Nnauye ameahidi kutoa shilingi laki tano kwa kila goli litakalofungwa na timu ya Serengeti Boys katika mchezo wa kuwania kufuzu fainali za Kombe la mataifa ya Afrika kwa vijana chini ya umri wa miaka 17 utakaofanyika kesho katika Uwanja wa Taifa dhidi ya Congo-Brazzaville.
Akiongea na waandishi wa habari leo Jijini Dar es Salaam Mhe.Nape amesema milango ipo wazi kwa wadau wengine wa michezo kujitolea katika kuiwezesha timu na hivyo kufanya vizuri katika mechi hii ambayo ni muhimu sana kushinda ili kufuzu kwa fainali hizo.
“Hii timu ni yetu sote hivyo inahitajika tuimiliki, tuepe nguvu, tuiombee ili iweze kufanya vizuri na hatimaye kufuzu kuingia fainali kwa kuitoa timu ya Congo-Brazzaville” alisema Mhe. Nape.
Aidha aliongeza kuwa kesho asubuhi atakutana na wachezaji wa timu hiyo ili kuwapa maneno ya faraja kabla ya kuanza kwa mechi na kuwataka watanzania kujitokeza kwa wingi uwanjani ili kuwapa motisha wachezaji kwa kuwashangilia na kuwatia moyo.
Mbali na hayo Waziri Nape alitoa ufafanuzi kuhusu matumizi ya kadi za kieletroniki zilizozinduliwa hivi karibuni kwa kueleza kuwa kadi hizo bado hazijaanza kutumika rasmi ili zitaanza kutumiwa katika mchezo baina ya Wabunge wa Simba na Yanga pamoja na Bongo Fleva.
Timu ya Serengeti Boys inaundwa na vijana wa Kitanzania wenye umri chini ya miaka 17 ambapo katika mchezo wa kesho watahitaji ushindi na baadaye kufanya mechi ya marudiano mnamo Oktoba 2 mwaka huu nchini Congo-Brazzaville.
TIMU YA SERENGETI BOYS YAISHINDA MECHI YA KIRAFIKI DHIDI YA DYNAMO
By: VIJIMAMBO on September 14, 2016 / comment : 0 michezo, Serengeti Boys
SERENGETI KUONDOKA USIKU WA LEO KWENDA SHELISHELI
By: VIJIMAMBO on September 04, 2016 / comment : 0 michezo, Serengeti Boys, TFF
WACOMORO KUWAAMUA SERENGETI BOYS, AFRIKA KUSINI
By: VIJIMAMBO on August 13, 2016 / comment : 0 michezo, Serengeti Boys
SERENGETI BOYS YATUA SAUZI
By: VIJIMAMBO on August 04, 2016 / comment : 0 michezo, Serengeti Boys
PAMOJA BLOG
WANAOTUTEMBELEA
ZINAZOSOMWA ZAIDI
-
Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tati...

Serikali imeitaka Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA) kuharakisha maboresho ya mitaala na mafunzo ya Uhasibu ili...
-
Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tati...
-
Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tati...
-
November 25th is the International Day for the elimination of Violence against women in the world. The 16 days up to December 10th the Huma...
-
Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tati...
BLOGU MARAFIKI
KUMBUKUMBU
HABARI ZINGINE
MPYAA: TAZAMA HAPA MATOKEO YA DARASA LA SABA 2015