DAYNA
Baada ya tuhuma za kuiba wimbo wa H.Baba na Pasha, Nataka kulewa. Msanii
Naseeb Abdul Diamond Platnum, ameingia tena ndani ya tuhuma nzito baada ya
kusadikiwa wimbo anaotaka kuuachia wa No.1 ni wa Dayna. Inasemekana
awali Dayna alimtaka Diamond wakafanye wimbo kwa Shedy, Diamond
akakubali, akaskiliza mdundo na kumuahidi Dayna kwamba wangefanya wote.
Lakini baadae Diamond akamrubuni Shedy na kumwambia ile bit ampe na
aachane na kazi ya Dayna.
Hii ni demo ya wimbo wa Dayna ambao
unafanana kila kitu na wimbo wa Diamond anaotaka kuachia. sikiliza na pia
waweza kushare na wenzio.
No comments:
Post a Comment