By: VIJIMAMBO
on August 17, 2012
/
Bondia Sande Kizito wa Uganda
 |
| Bondia
Sande Kizito katikati akiwa amewasili katika jiji la Dar es salaam
usiku wa leo akitokea Uganda kwa ajili ya mpambano wake na Ramadhani
Shauri siku ya Idi pili kushoto ni mwenyeji wake aliyempokea Yasini
Abdallah |
 |
| Bondia
Sande Kizito akiwasili akitokea Uganda kwa ajili ya kumkabiri mpinzani
wake Ramadhani Shauri la kugombea ubingwa wa IBF Africa litakalofanyika
siku ya Idi pili |
Tag:
PAMOJA BLOG's Admin
HABARI, SIASA , AFYA , JAMII NA MATUKIO MBALIMBALI.
No comments:
Post a Comment