KAMANDA LUKOSI NDANI YA GWANDA TAYARI KUELEKEA READING By: VIJIMAMBO on August 26, 2012 / comment : 0 Kamanda Chris Lukosi. MWENYEKITI wa Chadema jijini London, Kamanda Chris Lukosi akijiandaa kwa safari ya kuelekea Reading kwa ajili ya mkutano wa chama chake utakaofanyika leo Agosti 26, 2012. Tag: Share ! Facebook Twitter Pinterest Linkedin Whatsapp Whatsapp
No comments:
Post a Comment