By: VIJIMAMBO
on August 18, 2012
/
|
| Bondia
Ibrahimu Class 'King Class Mawe' akitunishiana misuri na Sako Mwaisege
'Dunga wakati wa utambulisho wa mpambano wao leo mbele ya waandishi wa
habari |
 |
| Bondia
Sande Kizito wa Uganda kushoto akitunishiana misuri na RAmadhani Shauri
wakati wa utambulisho wa mpambano wao wa ubingwa wa IBF Africa
utakaofanyika siku ya Idi pili katika ukumbi wa Diamond Jublee |
 |
| Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' akitunishiana misuri na Sako
Mwaisege 'Dunga wakati wa utambulisho wa mpambano wao leo mbele ya
waandishi wa habari |
 |
| Mkurugenzi wa Kitwe General Traders, Lucas Rutainirwakatikati AKIZUNGUMZA NA WANA HABARI LEO KUHUSU MPAMBANO HUO |
 |
| Ramadhani Shauri akizungumza katika mkutano huo |
 |
| Mkurugenzi
wa Kitwe General Traders, Lucas Rutainirwakatikati akiwa ameshika
mkanda wa ubingwa wa IBF Africa atakaepewa bondia atakaeshinda katika
mpambano huo kushoto ni Sande Kizito wa Uganda na Ramadhani Shauri wa
Tanzania |
 |
| Mkurugenzi
wa Kitwe General Traders, Lucas Rutainirwakatikati akiwa ameshika
mkanda wa ubingwa wa IBF Africa atakaepewa bondia atakaeshinda katika
mpambano huo kushoto ni Sande Kizito wa Uganda na Ramadhani Shauri wa
Tanzania picha pamoja na Rais wa IBF Africa Onesmo Ngowi na makocha wa wachezaji hawona www.superdboxingcoach.blogspot.com |
Tag:
PAMOJA BLOG's Admin
HABARI, SIASA , AFYA , JAMII NA MATUKIO MBALIMBALI.
No comments:
Post a Comment