HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » Mkutano Mkuu Wa Mwaka Wa Wanahisa Wa TBL Wafanyika

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Kampuni ya Bia Tanzania (TBL),  ambaye pia ni Waziri Mkuu mstaafu, Cleopa Msuya (kulia) akihutubia wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa 39 wa Wanahisa kwenye Hoteli ya Kilimanjaro Hyatt Regency, Dar es Salaam jana.
Baadhi ya wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa Kampuni hiyo
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Kampuni ya Bia Tanzania (TBL),  ambayepia ni Waziri Mkuu mstaafu, Cleopa Msuya (kulia) akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni hiyo, Robin Goetzsche.wakati wa Mkutano Mkuu wa 39 wa Wanahisa kwenye Hoteli ya Kilimanjaro Hyatt Regency, Dar es Salaam jana.
Bodi ya Wakurugenzi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) ikiongozwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya TBL,  Waziri Mkuu mstaafu, Cleopa Msuya (katikati waliokaa) wakiwa katika picha ya pamoja na wanahisa baada ya Mkutano Mkuu wa Wanahisa wa kampuni hiyo kumalizika jana jijini Dar es Salaam
Chanzo:http://www.mjengwablog.com/

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: