Habari
zimetufikia punde kwamba magari matatu yameshika moto Uwanja wa Ndege
wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar usiku huu. Inasemekana moto
ulianzia kwenye gari moja aina ya Range Rover kabla ya kusambaa kwenye
magari ya aina ya Toyota na Corolla kabla ya kuzimwa na zimamoto
waliofika hapo muda mfupi baadaye. Habari zaidi baadaye.
-



No comments:
Post a Comment