HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » PAPAA MUSOFE ALIPOFIKISHWA MAHAKAMA YA HAKIMU MKAZI KISUTU LEO KWA TUHUMA ZA MAUAJI


Marijani Abubakar Msofe ‘Papaa Musofe’ (58) akiingia kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo, kwa ajili ya kusomewa mashitaka katika kesi ya mauaji inayomkabili
 Papaa Musofe akiandikisha jina kwa maofisa wa Polisi mahakamani hapo
 Papaa Musofe akipandisha ngazi za mahakama ya Kisutu kwenda kusomewa shitaka la tuhuma za mauaji
 Papaa Musofe akipanda gari ya polisi kurejea mahabusu baada ya kusomewa shitaka la mauaji kwenye mahakama ya Kisutu
Papaa Musofe wa pili kulia, akiwa amekaa kwenye gari ya polisi chini ya uangalizi mkali, tayari kwa safari ya kurudi mahabusu.Picha Kwa Hisani Ya Habari Mseto Blog

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: