Makamu Mkuu Wa Chuo Kikuu Cha Dodoma
(UDOM) Elimu, Utafiti na Ushauri (Katikati) Prof Ludovick Kinabo
akiwashukuru wawakilishi wa Kampuni ya Simu za Mkononi ya Tigo Kwa
MSaada wa Vitabu hivyo. Pembeni kulia ni Meneja uhusiano na Udhamini wa
Tigo Bw Edward Shila na Kushoto ni Mkurugenzi wa Kampuni ya Tigo Kanda
ya Kati Bi Fadhila Saidi
Meneja Uhusiano na Udhamini wa Tigo
Bw Edward Shila (Katikati) akionyesha maboksi yenye vitabu 300 ambavyo
vimetolewa na kampuni ya simu za mikononi za tigo kwa Chuo Kikuu Cha
Dodoma (UDOM).
Naibu
Makamu Mkuu wa Elimu, Utafiti na Ushauri wa Chuo Kikuu Cha Dodoma
(UDOM) Prof Ludovick Kinabo (katikakati) Akipokea msaada wa Vitabu
Kutoka Kwa Meneja Uhusiano na Udhamini wa Tigo Bw Edward Shila wakati wa
makabidhiano ya Vitabu Hivyo vilivyotolewa na Tigo Chuoni hapo.



No comments:
Post a Comment