Rais
Dk Jakaya Kikwete (katikati) akiweka jiwe la msingi kuzindua rasmi
ujenzi wa Barabara ya Bagamoyo - Msata uliofanyika katika kijiji cha
Kiwangwa wilayani Bagamoyo leo mchana. Wengine katika picha kutoka
(kushoto) ni Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo Ahmed Kipozi, Kaimu Mkuu wa mkoa
wa Pwani ambaye pia ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,
Said Meck Sadik (wa pili kushoto), Waziri wa Ujenzi Dk John Magufuli
(wanne kushoto) na kulia ni Waziri wa Mazingira Mh Theresa Hoviza.
(Picha Zote na Freddy Maro)
Sehemu
ya Barabara ya Bagamoyo - Msata iliyojengwa kwa kiwango cha lami ambayo
ujenzi wake ulizinduliwa rasmi leo na Rais Dk Jakaya Kikwete, huko
Kiwangwa, wilayani Bagamoyo mkoani Pwani
No comments:
Post a Comment