HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AKIWA KATIKA ZIARA YAKE

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiagana na viongozi  kwenye uwanja wa ndege wa Mwanza baada ya ziara yake ya siku nane mkoani humo Septemba 18,2012.
 
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akifungua Benki wa Watu wa Meru (Meru Community Bank) wilayani Arumeru Septemba 19,2012.
 
Waziri Mkuu,Mizengo Pinda kiwa na viongozi wa Benki ya Wananchi wa Meru (Meru Community Bank) baada ya kuifungua Benki hiyo wilayani Arumeru, Septemba 18,2012.
 
Waziri Mkuu,Mizengo Pinda kiwa na viongozi wa Benki ya Wananchi wa Meru (Meru Community Bank) baada ya kuifungua Benki hiyo wilayani Arumeru, Septemba 18,2012.(Picha na Ofisi ya Wziri Mkuu)

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: