HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » DEREVA WA BODABODA NA ABIRIA WAKE WAFARIKI PAPO HAPO KATIKA AJARI HAPO JANA

 Dereva wa Bodaboda na abiria wake, ambao hawakuweza kufahamika majina yao kwa haraka, wakiwa wamelazwa pembeni mwa barabara ya Bagamoyo eneo la Makongo, baada ya kugongwa na gari aina ya Starlet yenye namba za usajiri T 838 BKB, wakati wakiwa katika Pikipiki yao yenye namba za usajiri T 491 BFY, na kufariki dunia papo hapo. Ajali hiyo ilitokea jana asubuhi.
Pichani ni raia akijaribu kutambua mwili wa marehemu katika ajali hiyo.

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: