Mshindi wa kwanza wa shindano la Mama Shujaa wa Chakula 2012 Sista
Martha Mwasu kutoka mkoani Dodoma (kushoto) akiwa na zawadi baada ya
kuibuka mshindi wa shindano la Mama Shujaa wa Chakula, 2012. Katikati ni
mshindi wapili kutoka mkoani Kagera Bi. Emiliana Eligaesha, kulia ni
Naibu Waziri Mawasiliano Sayansi na Teknolojia Mh. January Makamba.
Washindi watatu bora kwenye shindano la Mama Shujaa wa Chakula
2012 kwenye picha ya pamoja na Naibu Waziri wa Mawasiliano Sayansi na
Teknolojia Mh. January Makamba wakati wa hafla ya kutoa zawadi kwa
washindi wa shindano la Mama Shujaa wa Chakula 2012.
Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Kimataifa Oxfam Bi. Monica Gorman
akimpongeza mshindiwa kwanza wa shindano la Mama Shujaa wa Chakula Sista
Martha Mwasu kutoka mkoani Dodoma wakati wa hafla ya kutoa zawadi kwa
washindi wa mashindano ya Mama Shujaa wa Chakula 2012.
Mkuu wa Masoko na Mawasiliano, Imani Kajula akiwapongeza
washiriki wa Mama Shujaa wa Chakula 2012 wakati wa hafla ya kutoa zawadi
kwa washindi mashindano la Mama Shujaa wa Chakula 2012.
Washiriki wa shindano la Mama wa Shujaa wa Chakula 2012 wakiwa zawadi walizokabidhiwa na Benki ya NMB baada ya shindano hilo








No comments:
Post a Comment