Mmoja wa wshindi wa shindano la
Serengeti Supa Nyota 2012,Youk Killer akishusha mistari yake nguvi usiku
huu,huku shangwe na vigele vigele vikiwa vimetawala.
Mashabiki wakishangweka usiku huu vilivyo.
![]() |
| Mmoja wa wshindi wa shindano la Serengeti Supa Nyota 2012,NeyLee akiimba jukwaani . |
Baadhi ya wasanii kutoka nyumba ya
vipaji THT wakiamsha amsha usiku huu wakati tamasha la Serengeti Fiesta
2012 likiendelea huku mashabiki na wapenzi wa tamasha hilo wakiendelea
kumiminika usiku huu ndani ya viwanja vya Lidaz Club,jijini Dar.
Mmoja wa wasanii chipukizi kutoka
kwa THT,akiimba kwa hisia mbele ya umati mkubwa wa watu (haupo
pichani),uliojitokeza kushuhudia wasanii wa hapa nyumbani na nje
wakitumbuiza katika jukwaa moja usiku huu.
Mmoja wa wasanii chipukizi akinogesha jukwaa la Serengeti Fiesta 2012 usiku huu
The Wacko Jako wa bongo akifanya vitu vyake jukwaani usiku huu
Barnaba akitumbuiza hapo
Mashabiki wakiwa wamejitokeza kwa wingi kushuhudia tamasha hili kubwa
la serengeti fiesta 2012 ndani ya viwanja vya leaders usiku huu
Vijana kutoka THT wakiburudisha jukwaani













No comments:
Post a Comment