HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » TAIFA STARS YAINYUKA HARAMBEE STARS 1-0 CCM KIRUMBA

TIMU ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, leo imeibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Harambee Stars, ya Kenya katika mchezo wa kirafiki wa Kimataifa uliomalizika hivi punde katika Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza. Bao la Stars, limefungwa mapema tu katika dakika ya 5 na sekunde kadhaa kipindi cha kwanza na Agrey Moris, na kufanya timu hizo zikienda mapumziko Stars ikiwa mbele matokeo yaliyodumu hadi kumalizika kwa mchezo huo.

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: