KWA
TAARIFA ZILIZO RASMI NA ZILIZO TUFIKIA KUPITIA KWA
MWANDISHI WETU ALIYEPO MUDA HUU ENEO LA SOKO LA SIDO ANASHUHUDIA MOTO
MKUBWA AMBAO UNAWAKA SASA HUKU CHANZO CHA MOTO HUO HAKIJA FAHAMIKA MPAKA
SASA. HATA HIVYO JUHUDI ZA KUZIMA MOTO HUO ZINAFANYIKA SASA NA WATU WA
ZIMA MOTO WAKISHIRIKIANA NA WANANCHI.
ENDELEA KUFUATILIA



No comments:
Post a Comment