Mkurugenzi
Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA),
Haruna Masebu (kushoto), Haruna Masebu akielezea utendaji wa mamlaka
hiyo wakati wa mkutano wa pamoja na wajumbe wa Jukwaa la Wahariri
Tanzania (TEF) wa kubadilishana mawazo, Dar es Salaam . Kulia ni
Mwenyekiti wa TEF, Absalom Kibanda ambaye pia ni Mhariri Mtendaji wa
Kampuni ya New Habari.
Mhariri
wa habari wa gazeti la Daily News, Leonald Mwakalebela akiuliza swali
wakati wa mkutano wa wahariri wa vyombo vya habari wa kubadilishana
mawazo na uongozi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji
(EWURA), Dar es Salaam
Mkurugenzi
Mkuu wa Ewura, Haruna Masebu (kulia) akijadiliana jambo na maofisa wake
muda mfupi kabla ya mkutano na Jukwaa la Wahariri kuanza katika Hoteli
ya JB Belmonte Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri (TEF), ABsalom Kibanda akizungumza na Haruna Masebu Bosi wa Ewura.
Mkurugenzi Mkuu wa EWQURA, Haruna Masebu akiwakaribishwa wahariri kwenye mkutano huo
Mhariri
Mkuu wa gazeti la Habari Leo, Joseph Kulangwa akiuliza swali kuhusu
tatizo la maji wakati wa mkutano wa pamoja kati ya Mamlaka ya Udhibiti
wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) na Jukwaa la Wahariri Tanzania,
jijini Dar es Salaam. Kulia ni Tumiani Abdalah wa Daily News.
Mkurugenzi
wa Maji na Maji Taka wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na
Maji (Ewura), Mhandisi Mutaekulwa Mutegeki (kushoto) akielezea kuhusu
mfumo wa maji safi na taka wakati wa mkutano na wajumbe wa Jukwaa la
Wahariri (TEF), wa kubadilisha na mawazo hivi karibuni jijini Dar es
Salaam. Kutoka kulia ni Mkurugenzi wa Umeme wa mamlaka hiyo, Mhandisi
Anastas Mbawala na Mkurugenzi wa Uchumi wa Ewura, Felix Ngamlagosi.
Meneja Ufundi wa Petroli wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na
Maji (EWURA, Gerald Maganga akifafanua jambo kuhusu masuala ya mafuta
wakati wa mkutano na wajumbe wa Jukwaa la Wahariri (TEF), wa kubadilisha
na mawazo hivi karibuni jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mkurugenzi wa
Gesi Asilia wa mamlka hiyo, Mhandisi Charles Omujuni.
Mkurugenzi
wa Uchumi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA,
Felix Ngamlagosi akifafanua jambo kuhusu utendaji wa mamlaka hiyo wakati
wa mkutano na wajumbe wa Jukwaa la Wahariri (TEF), wa kubadilisha na
mawazo hivi karibuni jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mkurugenzi wa Maji
na Maji Taka wa EWURA, Mhandisi Mutaekulwa Mutegeki.
Mkurugenzi
wa Sheria wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA,
Miriam Mahanyu (kushoto) akifafanua jambo kuhusu utendaji wa mamlaka
hiyo wakati wa mkutano na wajumbe wa Jukwaa la Wahariri (TEF), wa
kubadilisha na mawazo hivi karibuni jijini Dar es Salaam. Kulia ni
Mkurugenzi Mkuu wa EWURA, Haruna Masebu.
Mhariri
wa Habari wa gazeti la Habari Leo, Mgaya Kingoba akichangia hoja wakati
wa mkutano huo. Kutoka kulia ni Joyce Shebe wa ITV na Mhariri wa Redio
Uhuru, Godfrey Chongolo.
Mtangazaji
wa Star Tv, Tom Chilala akiuliza swali kwa uongozi wa Ewura. Kushoto ni
Mhariri wa gazeti la Dira ya Mtanzania, Abraham Ojuku.
Mhariri wa Redio Uhuru, Godfrey Chongolo akiomba muongozo katika mkutano huo. Kulia ni Joyce Shebe wa ITV.
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano wa Ewura, Titus Kaguo akifafanua jambo wakati wa mkutano huo
Katibu
Mkuu wa Jukwaa la Wahariri, Nevile Meena akizungumza katika mkutano
huo. Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Ewura, Haruna Masebu.
Mwenyekiti
wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Absalom Kibanda (kulia) akiongoza
mkutano wa wahariri wa kubadilishana mawazo na uongozi wa Mamlaka ya
Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), Dar es Salaam. Kushoto ni
Mkurugenzi Mkuu wa EWURA, Haruna Masebu.
PICHA ZOTE NA KAMANDA WA MATUKIO BLOG



No comments:
Post a Comment