HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » KWELI MTU AKIPENDA KAPENDA CHRIS BROWN NA RIHANNA PENZI LAFUFUKA TENA


  Rihanna na Chris Brown wakitimba ndani ya Staples Center huko Los Angeles siku ya jana ya Christmas kuangalia mchezo CHRISTMAS LA LAKERS
  Rihanna akiingia uwanjani ili kutizama mchezo
Wapendanao hawa wa siku nyingi wakila bata mbaya!hapa hata sijui walikuwa wanachombezana nini!

Uzalendo ulimshinda Rihanna ikabidi amuegemee japo kidogo huku tabasam zito likimtoka!nae Chriss Brown hakuacha kumpa ushirikiano.

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: