PAMOJA BLOG inawatakia wadau wote
Duniani Christmas njema, msherehekee kwa amani na utulivu, wanaotumia
kinywaji chenye kilevi ndani yake tafadhali, endesha taratibu kwa faida ya
usalama wako na usalama wa watu wengine na mnaopenda kula tafadhali kula
kiasi ukiona bado una hamu beba nyumbani hii ni kwa faida ya afya yako
uzoefu unaonyesha watu wanaopenda kula sana siku za sikukuu mara nyingi
huishia hospitali.
Ujumbe wetu ni huo wadau wa PAMOJA,
ILA KUMBUKA HUWEZI KWENDA KWA JIRANI BILA KUTOKEA NYUMBANI KWAKO
''''''''MERRY CHRISTMAS''''''
No comments:
Post a Comment