HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » Salamu za kuukabirisha Mwaka Mpya wa 2013 kutoka kwa Dk. Shein

 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi. Dk Ali Mohamed Shein,akitoa salamu za kuukaribisha Mwaka

mpya wa 2013,kwa wananchi wa Zanzibar na Watanzania wote kwa

ujumla,pia aliwasihi wananchi kuendela kushirikiana   na Serikali yao

katika kuendeleza mipando mbali mbali ya maendeleo,na kuwataka kuwa

walinzi wa rasilimali pia kuzingatia   taratibu za kisheria, kwa kuwa

na elimu bora ya rasilimali hizo.  

Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: