Zaidi ya abiria 40 waliokuwemo kwenye basi la New Force wameponea chupuchupu kufa baada ya basi lao kugongana na Fuso maeneo ya Pipe Liine Inyala na pia bas la New Force lilikuwa linatokea Mbeya likielekea Dar es Salaam
Mwonekano wa basi la New Force kwa ndani baada ya kupata ajari leo
Hili
roli aina ya fuso ndilo lililosababisha ajali hiyo kwani lilikuwa
lilikuwalinalipita gari lingine bila ya kuangalia kama gari nyingine
inashuka mlima na ndipo lilipokutana na basi hilo
Hii ndiyo hali halisi ya ajali hiyo dreva wa fuso kakimbia baada ya kusababisha ajali hiyo
Mtoto
Samwelli akisimulia jinsi ajali hiyo ilivyotokea kwani yeye alikuwa
nyuma ya dereva amesema yeye mkanda ndiyo uliomuokoa kwani mama
aliyekuwa jirani yake hakufunga mkanda ameumia vibaya sana
Abilia akielezea jinsi ajari ilivyotokea
Badhi ya abilia waliokuwa kwenye basi hilo wakisubiri usafiri mwingine toka katika kampuni ya New Force
Baadhi ya mjeruhi hao wameruhusiwa baada ya kupata matibabu
Kaimu
Mkurugenzi wa Hospitali ya Rufani ya Mbeya, Dk. Hamfrey
Kiwelu, aliyesimama amesema wamepokea majeruhi 24 na kati ya hao 17
wameruhusiwa baada ya kupata matibabu na majeruhi 7 wamelazwa
hospitalini hapo kuendelea na matibabu
PICHA NA MBEYA YETU
No comments:
Post a Comment