HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » DKT. CHRISTANT MZINDAKAYA, GEORGE MASAJU NA JUMA NGASONGWA WATOA MAONI YAO KUHUSU KATIBA MPYA


Mwanasiasa mkongwe nchini, Dkt. Christant Mzindakaya (kushoto) akizungumza na wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba katika mkutano baina yake na Tume hiyo uliofanyika katika ofisi za Tume jijini Dar es Salaam ambapo aliwasilisha maoni yake kuhusu Katiba Mpya.
 Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Bw. George Masaju (kushoto) akibadilishana mawazo na Wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Joseph Butiku (kulia) na Prof. Mwesiga Baregu (katikati) mara baada ya kuwasilisha maoni yake kuhusu Katiba Mpya kwa Tume hiyo jana katika ofisi za Tume jijini Dar es Salaam.
Mjumbe wa Tume ya pamoja ya Fedha ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (JFC), Juma Ngasongwa akizungumza katika mkutano baina yao na Tume ya Mabadiliko ya Katiba uliofanyika jana.
Picha na Tume ya Mabadiliko ya Katiba

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: